Custom Banner

Mama wa Watoto SOS-x 3

Job OpotunityAdd to Favourites
0.00 (0 votes)
Mama wa Watoto SOS-x 3
Contact The National Director
SOS Children’s Villages Tanzania
P. O. Box 80462 Dar es Salaam, Tanzania
national.office@sos-tanzania.org
www.sos-tanzania.org
Added 2018-10-10 07:49:45

Description

Duty station: Kijiji cha watoto cha Mwanza (Nafasi 3), Dar es
salaam(nafasi 1)
Reporting to: Program Advisor Mwanza

Majukumu ya kazi ya mama/mama msaidizi.

Kuhakikisha ustawi wa mtoto kupitia malezi
Mama ana wajibu kwa ajili ya usimamizi wa nyumba yake na shughuli muhimu
ndani ya nyumba yake
Mama ana wajibu wa kuwajengea fursa watoto kuwa huru zaidi na kuwajibika.
Kuendeleza familia kwa upendo, ulinzi, uaminifu na usalama kwa wototo
atakaokabidhiwa kwa muda wote.? Kumjenga mtoto katika familia na
kumsaidia kiafya, kimwili, kiakili, kijamii kiutamaduni na ustawi wa
kiroho wa kila mtoto.
Kuwa jengea uwezo wa kujitegemea na watoto wanaowajibika kwa jamii husika

Muombaji anatakiwa awe na sifa zifuatazo

Awe na umri kati ya miaka 33 na 40.
Awe na elimu si chini ya Sekondari
Awe hana majukumu makubwa ya kifamilia kama vile hana mume, asiwe na
watoto wenye umri chini ya miaka 12
Awe yuko tayari kuishi katika Kijiji cha SOS kama mama wa watoto
wanaohitaji malezi.
Uwezo wa kuongea kwa lugha ya Kiingereza ni sifa ya ziada.
Kama hana cheti cha sekondari awe na cheti chochote cha malezi ya watoto
au barua yoyote ambayo inamthibitisha kuwa amekuwa akijihusisha na
malezi ya watototo wanaofanana na hawa.
Mama aliyemaliza kidato cha nne atapatiwa kipaumbele.

          APPLICATION INSTRUCTIONS:

*To apply for this position, send your application letter by postal or
email describing how your experience, qualifications and competencies
make you the right candidate for this position.

Enclose ONLY detailed and updated CV with telephone contacts and details
of at least 3 referees. Copies of academic, professional certificates
and passport size photo will be submitted by only contacted candidates
for the interview.

To apply please send to;

The National Director
SOS Children’s Villages Tanzania
P. O. Box 80462 Dar es Salaam, Tanzania
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Please Note: SOS Children’s Villages Tanzania is an equal opportunity
employer and committed to keeping children safe from abuse and harm,
therefore candidates applying for this post will be subject to child
safeguarding recruitment procedures and checks.

Only short listed candidates will be contacted

Specific details

Employer Name: Mama wa Watoto SOS-x 3
Deadline: 2018-10-24 00:00:00
Job Position: Mama wa Watoto SOS

Location

Mwanza, Tanzania

Advert details

Advert ID: 928
Displayed: 16
Expires: 2018-11-09 07:49:45

Rating

Price
Product state
Shipment

Users' reviews

Log-in to add review

Comments

Urgent Ads

ads-luzwi
Green car advert
BUTLETT- 3
Korg Pa4x for sale 850 Euro
New/Used Outboard Motor engine,Trailers,Minn Kota,Humminbird,Garmin
Tanzania Financial Service EXPO 2018
2013 Land Rover Range Rover HSE LUX
2008 Honda cbr1000rr
Toyota Hilux exporter
Sony PlayStation 4 Pro 1TB 4K Jet Black Console Bundle
PRIMEWARE
Korg Pa4x for sale 850 Euro Korg Pa4x for sale 850 Euro
New/Used Outboard Motor engine,Trailers,Minn Kota,Humminbird,Garmin New/Used Outboard Motor engine,Trailers,Minn Kota,Humminbird,Garmin
Tanzania Financial Service EXPO 2018 Tanzania Financial Service EXPO 2018
2013 Land Rover Range Rover HSE LUX 2013 Land Rover Range Rover HSE LUX
2008 Honda cbr1000rr 2008 Honda cbr1000rr
Toyota Hilux exporter Toyota Hilux exporter
Sony PlayStation 4 Pro 1TB 4K Jet Black Console Bundle Sony PlayStation 4 Pro 1TB 4K Jet Black Console Bundle
PRIMEWARE PRIMEWARE